Bahati - Ndani Ya Lyrics

Ndani Ya Lyrics

EMB Records

[CHORUS]
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko

[VERSE 1]
Nikoo na nia
Nasita tania
Maisha full mzuka vile nilidhania (ah)
Nalabata ongezea ndania
We amini kweli yesu ndio njia
Nikona kristo wazito
Huyu Yesu mwanzo mwisho
Na Kristo wazito
Muulize DJ mzito

[CHORUS]
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko

[VERSE 2]
Bomba
Christ ndio bomba
Anafanya roho yangu inadunda
Sasa wewe chana na dumba
Jua asante ya dunia
Ndio teke ya punda    
Hey madam
Wacha story Christ anakam
Ebu okoka salvation ni tam
Ali dedi mambo ikawa done
It’s over... We are done
Bomba
Christ ndio bomba
Anafanya roho yangu inadunda
Sasa wewe chana na dumba
Jua asante ya dunia
Ndio teke ya punda    

[CHORUS]
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko

[BRIDGE]
Nikona kristo wazito
Huyu Yesu mwanzo mwisho
Na Kristo wazito
Muulize DJ mzito
Bomba
Christ ndio bomba
Anafanya roho yangu inadunda
Sasa wewe chana na dumba
Jua asante ya dunia
Ndio teke ya punda

[CHORUS]
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko
Ndani ya, ndani ya, ndani ya, ndani ya
Tuko tuko tuko tuko

 


Ndani Ya Video

Bahati Songs

Related Songs