Sifa Lyrics

Nakupa Moyo by Bahati cover art

Bahati - Nakupa Moyo Lyrics

Artist:
Bahati

Lyrics

Ulikonitoa ni mbali
Kwenye panda shuka za maisha
Kwenye mvua na jua kali
Kivulini ukaniweka


Kwenye juhudi za kutafuta shillingi
Hukuninyima
Tena kwa taabu nikitafuta riziki
Ukaniinua Baba


Nyingi mondo omii duong’
Yesu ruodha, an apaki pile
In e ohingana e osimbona
An apaki pile ruodha


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini Baba
Chukua moyo yesu wangu


Aah nipigwe na mawimbi, aaah
Umenilinda siamini
Lako sandere mangalee Zanderema yoo
Ogondo zandage mangeze Olaniwan


Umenifinyanga siamini
Yesu wangu
Umenibeb angani mimi


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini Baba
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo


Umenitendea na mengi nilipe na nini?
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini Baba
Chukua moyo Yesu wangu


Video