Heshima Na Utukufu Na Sifa Ni Zako Bwana Lyrics - Bishop Gwajima
Bishop Gwajima swahili
Heshima Na Utukufu Na Sifa Ni Zako Bwana Lyrics
Heshima na utukufu na sifa
zote ni zako Bwana
Matendo ni yako ya ajabu
Ubarikiwe Baba uinuliwe
Heshima na utukufu
na sifa ni zako Bwana
Matendo ni yako ya ajabu
Ubarikiwe Baba uinuliwe
Heshima na utukufu
na sifa ni zako Bwana
Heshima na utukufu
na sifa ni zako Bwana