Willy Paul - Ogopa Wasanii Lyrics

Album: The African Experience
Released: 26 Nov 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Jana nakuchukua nakuweka mmmh Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii

Mwanasimba katenda majanga kwa Tanasha Mwone simba katenda majanga kwa Tanasha Katafuna na katema

Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa Tupate watoto wazuri warembo chini ya ndoa Boo boo sitakupiga mimba nitoroke, nitakuoa Tena I swear sitakuvunja moyo nitoroke, oa

Mimi nawe mpaka chee, call me gentleman Mimi nawe mpaka chee, call me a gentleman

Baby baby, kuna wasanii wadogo Wajui hata panguza kamasi Wanaslide, kwenye DM Wanadhani mapua yao

Ona watoto wa Diana Diana, danganya wewe Mtoto wa kilio kilio danganya wewe Hapa hakuna bahati, akwende akalie mbali Basi nikatikie baby kata, kata kata Mpaka kwa tiktok baby kata, kata kata

Jana nakuchukua nakuweka mmmh Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii

Wengine usiwapee, watakuvunja na moyo Using'ang'ane watakuvunja na moyo

Unasema, sema star  Unamtaka juu ye ni star Unasema, sema star  Unamtaka juu ye ni star

Boo boo unajua ya tisho Wanadanganya watu Eti wanapeleka java  Na wanapenda kitanda

Eti muhali wanje wee Kudanganya watu Eti muhali wanje wee Kudanganya watu

Nikatikie baby kata, kata kata Mpaka kwa Tiktok baby kata, kata kata

Eh eh eh..mmmh mmh Eh eh eh..mmmh mmh

Jana nakuchukua nakuweka mmmh Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii Ogopa, ogopa wasanii  

Video

Willy Paul - Ogopa Wasanii ( Official video )

Thumbnail for Ogopa Wasanii video
Loading...
In Queue
View Lyrics