Kunapokucha Lyrics

The Saints Ministers swahili

Chorus:
Nikiyafungua macho, nione uwepo wako, na masikio yangu yote, Utulivu uwe wimbo, akili nayo iwaze mema, uniongoze siku nzima, nitalisifu jina lako Bwana unipe matumaini.

Kunapokucha Video

Buy/Download Audio

Kunapokucha Lyrics

1. Kila kunapokucha, maisha yangu ntakukabidhi, kazi zangu naweka kwako, e Bwana wangu unilinde, Fikira zangu uzing'arishe, ziweze kukuhimidi, Nijaze na roho Mtakatifu.Chorus
  Nikiyafungua macho, nione uwepo wako, na     masikio yangu yote, Utulivu uwe wimbo, akili nayo iwaze mema, uniongoze siku nzima, nitalisifu jina lako Bwana unipe matumaini.

2. Siku ikiwa na purukushani, magonjwa mengi yakinibana, ajali huku, sikitiko kote unuzingire Baba, jioni nayo Mungu wangu, nehema na fadhili zako, nazihitaji usiku kucha nitashukuru.

Bridge:
  Kwa mahitaji ya Kesho, sina shaka, kwani wewe Mungu U mpaji.