Sifa Lyrics

USIDHARAU MTU by Burton King cover art

Burton King - USIDHARAU MTU Lyrics

Artist:
Burton King

Lyrics

Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Heshimu watu kesho ni ya mungu


Heshimu wengine kesho ni ya mungu


Unayemwona yuko chini 


Kesho atakuwa juu


Unayekopesha leo 


Kesho atakukopesha


Maskini wa leo  


Ndiye tajiri wa kesho


Masaa na nyakati ni ya mungu


Alichokipanga kesho sisi hatujui


Majira na nyakati yako mikononi mwa mungu


Mambo ya mungu mengi yatakushangaza


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Heshimu watu kesho ni ya mungu


Heshimu wengine kesho ni ya mungu


Ata kama umefika wa kwanza barabara hasitafungwa


Tuko sote kwa safarini ipo siku tutafika


Aliyekuinua wewe atainua na wengine


Aliyekupangisha wewe bado atapangisha 


Hoo nauliza kiburi cha nini?


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Heshimu watu kesho ni ya mungu


Heshimu wengine kesho ni ya mungu


Jifunze kuheshimu watu ni wa maana


Mtu yeyote mbele za mungu ni wa maana


Heshimu tu


Mama mboga ni wa maana


Mtu wa bodaa ni wa maana


Makanga wa gari ni wa maana


Heshimu tu


Maskini ni wa maana


Na tajiri pia ni wa maana


Mbele za mungu ni wa maana


Heshimu tu


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Heshimu watu kesho ni ya mungu


Heshimu wengine kesho ni ya mungu


Unayemwona yuko chini 


Kesho atakuwa juu


Unayekopesha leo 


Kesho atakukopesha


Maskini wa leo  


Ndiye tajiri wa kesho


Masaa na nyakati ni ya mungu


Alichokipanga kesho sisi hatujui


Majira na nyakati yako mikononi mwa mungu


Mambo ya mungu mengi yatakushangaza


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Heshimu watu kesho ni ya mungu


Heshimu wengine kesho ni ya mungu


Ata kama umefika wa kwanza barabara hasitafungwa


Tuko sote kwa safarini ipo siku tutafika


Aliyekuinua wewe atainua na wengine


Aliyekupangisha wewe bado atapangisha 


Hoo nauliza kiburi cha nini?


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Usidharau mtu yeyote duniani


Kesho ya mtu ni mungu ajuae


Heshimu watu kesho ni ya mungu


Heshimu wengine kesho ni ya mungu


Jifunze kuheshimu watu ni wa maana


Mtu yeyote mbele za mungu ni wa maana


Heshimu tu


Mama mboga ni wa maana


Mtu wa bodaa ni wa maana


Makanga wa gari ni wa maana


Heshimu tu


Maskini ni wa maana


Na tajiri pia ni wa maana


Mbele za mungu ni wa maana


Heshimu tu


Video