Sifa Lyrics

Tutashinda by Bony Mwaitege cover art

Bony Mwaitege - Tutashinda Lyrics

Artist:
Bony Mwaitege

Lyrics

Jina jina la Yesu jamani tulitumie


Jina tutashinda kwa jina


Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina


Tutashinda kwa jina la Yesu


Jina jina ee 


Jina ee twagemea jina la Yesu


Hatuna mashaka wala hovu


Uwanja wapitae vita vimeanza


Mashujaa wawili wanakailiana 


Upande moja kasimama Daudi upande mwengine kasimama Goliathi


Daudi kijana mdogo lakini mwenye imani


Anamwambia Goliathi umeeba mkuki na fimbo


Lakini mimi ninakuja kwa jina la Bwana wa majeshi aa


Jina jina la Yesu na sisi tutashinda tunalo


Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina


Tutashinda kwa jina la Yesu


Jina jina ee 


Jina ee twagemea jina la Yesu


Hatuna mashaka wala hovu


Jina jina la Yesu na sisi tutashinda tunalo


Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina


Tutashinda kwa jina la Yesu


Jina jina ee 


Tunategemea jina la Yesu


Tunajifunza kwa Daudi alishinda kwa jina 


Alimwambia Goliathi nitakushinda kwa Jina


Vita ni ya kubeba upanga wala hakubeba mkuki


Alitegemea jina ndo maana akashinda kwa jiwe moja tu


Jina jina la Yesu na sisi tutashinda tunalo


Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina


Tutashinda kwa jina la Yesu


Jina jina ee 


Jina ee twagemea jina la Yesu


Hatuna mashaka wala hovu


Wanaona moto wanaona moto wa Yesu moto


Jina jina ee 


Tunategemea jina la Yesu


Hatuna mashaka wala hovu


Video