Mapito

Mapito Lyrics

Nimepita mapito mengi hata hili nitapita 
Ulivuta machozi yangu ukanivusha 
Haleluya usifiwe Mungu mwenye huruma 
Haleluya usifiwe katikati ya janga hili  .

Mwili unauma ninahisi nimetoka 
Moyo wangu wavuja damu 
Machozi yamekuwa mengi 
Njoo haraka nisaidie bila wewe nitashindwa 
Nakuhitaji zaidi ya yote 
Maana wewe ndiwe nguvu yangu  .

Nimepita mapito mengi hata hili nitapita 
Ulivuta machozi yangu ukanivusha 
Haleluya usifiwe Mungu mwenye huruma 
Haleluya usifiwe katikati ya janga hili  .

Najua uko na mimi huwezi Bwana kuniacha 
Ije milima ije mabonde wewe ni Bwana wa Mabwana 
uuuuh uuuh uuuuuh uuuuuuh .

Haleluya usifiwe katikati ya jangwa hili 
Haleluya usifiwe katikati ya jangwa hili 
Haleluya usifiwe katikati ya jangwa hili  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mapito:

0 Comments/Reviews