Lyrics
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Utakoniita nitakwenda
Ukinituma nitafanya
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
When You call me I will answer
Where You lead me God I will answer
My soul says Yes, Says Yes to Your will
Utakoniita nitakwenda
Ukinituma nitafanya
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Kama ni tatizo linakuja
Kama umesema Bwana mimi nitakubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Najua wanitengeza wanitengeneza
Ili mimi niwe stronger stronger stronger
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali sitalalamika Yesu
Moyo wakubali
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Moyo wakubali kubali kubali
Moyo wakubali kwa mapenzi yako
Video
Meaning & Inspiration
I believe this is true—but if I’m honest, part of me still hesitates when I try to live it out.
The singer repeats the word "kubali" so many times it starts to lose its shape. It sounds less like a choice and more like a nervous tic. Like someone tapping their foot on a floorboard until it splinters. I think about that kid in the upper room who got sleepy and tumbled out the window while Paul was talking. He was just sitting there, trying to listen, then he was dead on the grass. You say yes to the calling and maybe the floor just gives out under you. It is a strange way to trust a plan.
I say the words but I am terrified that you will actually ask me to go.