Miracle

Miracle Lyrics

oooo oooo oooo Am a Living,Walking Miracle .

Verse
I am a Miracle
The living Miracle
The way you see me today
It's a Miracle
The way you see me today
It's a Miracle
When i wake up every morning
It's a miracle 
The way i sing today
It's a Miracle. .

Pre chorus
I am a Miracle
Eeeh. .

2nd verse
Nikikumbuka pale umenitoa
Magonjwa mengi uliyoniponya yale Mungu Umetenda ni MUUJIZA tu
Kuwa HAI
Umenipa AFYA nzuri
Na ninakuimbia ZABURI. .

Baba ahsante kwa UZIMA ilionipa.
Nasema ahsante kwa FAMILIA yangu
kwenye MAGUMU yote uliyonipitisha .

BABA AHSANTE NA KWA SAUTI NZURI, .

Chorus
HIVI NILIVYO NILIPO
NILIVYO NI MUUJIZA. .

Bridge
You live in me and I live in you
Am a child of God
Forever and ever
You never leave me
Nor Forsake me
Nakuabudu eeeh .

NIMEUMBWA KWA MFANO WAKO
NALISIFU JINA LAKO 
NALIHIMIDI JINA LAKO
AHSANTE BWANA.
MIMI NI USHUHUDA BWANA
FADHILI ZAKO ZITANIFUATA
OOOO EEEE HIVI NILIVYO .

Chorus
HIVI NILIVYO NILIPO
NILIVYO NI MUUJIZA.


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Miracle:

0 Comments/Reviews