Evelyn Wanjiru - Matendo Yako Yanatisha Lyrics

Album: God's Favourite Baby
Released: 02 Jul 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha Matendo yako Baba yanatisha

Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha

Nimesikia habari zako Nashuhudia kazi zako Yale umetena yote umesema Ni ishara kwamba wewe ni Mungu

Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha x2

Matendo yako ni kamili Kazi yako inadumu Hauchelewi Baba tunapokwitaji Wewe upo wakati wote

Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha x2

Umesema ukisema ndio Hakuna wa kupinga, ndio na amina Ooh Jehovah Baba wee

Matendo yako yanatisha Matendo yako yanatisha x2

Nasema eeh eeh eeh Yanatisha Baba Hakuna kama wewe Eeh eeh eeh Unainua Baba Unabariki wewe, eeh eeh eeh Unawaketisha na wafalme Matendo yako

Video

EVELYN WANJIRU - MATENDO (Deeds) Official Music Video

Thumbnail for Matendo Yako Yanatisha video
Loading...
In Queue
View Lyrics