Nadia Mukami - Nipe Yote Lyrics
Lyrics
(Kimambo on the Beat)
Haya Mapenzi kama bahari inazama, acha yanipige Nimeshakwama penzi la huyu mvulana, sijui nifanyeje Unanishangaza eeeeh eeh, tamu switi mi nakolea! Unaniliwaza eeeh eeh, jinsi mambo unavonipea..
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
(Oh baby tena) Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Nipe yote) Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena Yote Yote!! Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Nipe yote) Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Yote Yote)
VERSE 2:
Aah haina maana, umenishika tighti Umenibana unanifanya, kwako sifurukutii Unaponimaliza, kwa sauti ukiniita Yaani kama diva, Cinderella Sinyorita Penzi letu limenona, nani kama wewe Unanifanya mi nakoma, kufata mwengine
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
(Oh baby tena) Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Nipe yote) Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena Yote Yote!! Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Nipe yote) Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Yote Yote)
(Oh baby tena) Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Nipe yote) Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena Yote Yote!! Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Nipe yote) Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena (Yote Yote)
Video
Nadia Mukami - Nipe Yote (Official Video) Sms "SKIZA 5802450" TO 811