Baba naomba kubarikiwa nawe Lyrics - Isaac Kahura

Isaac Kahura swahili

Baba naomba kubarikiwa nawe Lyrics

Macho yangu, nayainua,
Nibadilishe, Unibariki,
baraka zako, haina huzuni,
nizakudumu milele amina

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

ukabadilisha, Yakobo jina ukamwita,
isreael maana yake, kubarikiwa
nami naomba kubarikiwa nawe.

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

Ninapokutazama utanininua,
Ninapokutazama utanibariki,
Ninapokutazama sitaogopa kamwe,
Sitoki hapa bila uguso wako.

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

Ukinigusa nimebarikiwa,
Uguso wako, ni baraka kwangu,
ulimgusa Batholomayo akaona,
Ndipo nasema, nataka uguso wako.
Sitoki hapa usinibariki.

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki


Baba naomba kubarikiwa nawe Video