Sijaona Kama Wewe

Sijaona Kama Wewe Lyrics

Hakuna Mungu kama wewe 
Wajulikana kuwa una nguvu 
Mbingu na nchi hakuna mwingine 
Wakuabudu wewe ni Baba Mungu  .Hakuna Mungu kama wewe 
Wajulikana kuwa una nguvu 
Mbingu na nchi hakuna mwingine 
Wa kuabudu wewe ni Baba Yangu   .

Sijaona Mungu kama wewe 
Sijapata tena kama wewe 
Hakujakuwa hakutakuwa 
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee  .

Sijaona Mungu kama wewe 
Sijapata tena kama wewe 
Hakujakuwa hakutakuwa 
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee  .

Kwa neno mbingu na nchi viliumbwa 
Na vitu vyote vinavyojaza ulimwengu 
Vyasimulia uwezo na nguvu zako 
Wakupewa sifa zote ni zako Bwana  .

Sijaona Mungu kama wewe 
Sijapata tena kama wewe 
Hakujakuwa hakutakuwa 
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee   .

Sijaona Mungu kama wewe 
Sijapata tena kama wewe 
Hakujakuwa hakutakuwa 
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee 
Hakujakuwa hakutakuwa 
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee 
Hakujakuwa hakutakuwa 
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Sijaona Kama Wewe:

0 Comments/Reviews