Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona
Nimejaribu kutafutakinachoweza kuridhisha moyo wangu,
Nikatanga tanga masharikina kusini ili muundaji nitafute
Nikamanga manga magharibi kaskazini,
kupata kile ninachotaka wimbo.

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Juhudi zangu zote zilipogonga mwamba nikafa moyo nikakata tamaa,
Ndio bwana akaja kanigusa nikasimama nikaanza kutembea.
Asante bwana mwokozi wangu nimetambua kama nimekupata ,
pewa wimbo pewa sifa asante Yesu.

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.

Nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila korna
Nimetambua nimekupata Bwana Yesu mwokozi wangu nafasi

Nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja moja, moja.


Share:

Write a review of Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja:

0 Comments/Reviews

Kidum

@kidum

Bio

View all songs, albums & biography of Kidum

View Profile

Bible Verses for Nafasi Yote Moyoni - Namba Moja

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music