Kidum - Hatuna Lyrics

Lyrics

Wacha niseme ukweli Umenifunza mimi kujua kupenda Kila ninapopita Maswali mingi sana vipi nimekupata Hawajui kila kifuli Kwamba ina kifunguo chake na namna yake Hawaoni na kujipa majibu Mambo yetu ni filamu tamu Alafu inawapatia hamu

Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi

Mambo ya majivuno na majigambo Uzuri wetu hatuna, hatuna Mambo ya majivuno na majigambo Uzuri wetu hatuna, hatuna hatuna

Maajabu kila mtu sasa ameona uko mrembo Maneno yameanza na shida zimeanza Waeleze tafadhali kwamba vikielea  Basi wajue vimeundwa, vina mwenyewe

Wanameza mate nikila nyama Mambo ya watu ni kutusema Kutusengenya haibadilishi chochote

Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi

Mambo ya majivuno na majigambo Uzuri wetu hatuna, hatuna Mambo ya majivuno na majigambo Uzuri wetu hatuna, hatuna hatuna

Hatuna majigambo na majivuno Songa karibu nami

Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi Songa karibu na mimi Eh eh songa karibu na mimi

Mambo ya majivuno na majigambo Uzuri wetu hatuna, hatuna Mambo ya majivuno na majigambo Uzuri wetu hatuna, hatuna hatuna

Video

KIDUM - HATUNA (Official Video)

Thumbnail for Hatuna video
Loading...
In Queue
View Lyrics