Kidum - Hayafai Lyrics

Lyrics

Unataka nijiue Hutosheki na pendo langu Mawinbo nimeimba, maua nikaleta Ili tu nione tabasamu lako Milima na mabonde, kunyeshewa na mvua Ili tu nioneshe upendo wangu kwako Inashangaza , Unae mpenda huwa hakupendi Inaumiza, kuona kwamba hizi siku zote hujatambua Kuhusu upendo wangu kwako Unaniringia, huchukui simu zangu Kila saa nikuninunia Natamani kuskia kutoka kwako

Kunitenda kunitesa nakunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Kunitenda kunitesa nakunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Haya haya haya haya hayafai Haya haya haya haya hayafai

Unataka kuniona tu nikiwa nimechizi Si kitu mzuri si ustaarabu Mapenzi isiwe chanzo chakuniweka mimi kwa magoti Rekebisha Nitatuma ujumbe mfupi kwa simu kama Leo alafu unajibu Baada ya siku mbili Unashindwa kunieleza kama unamwengine unaenzi Kuniliko Unanichanganya, nikidhani unanipenda sana Alafu unabadilika, natamani siku zetu za hapo mwanzo

Kunitenda kunitesa nakunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Kunitenda kunitesa nakunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Kunitenda kunitesa nakunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Kunitenda kunitesa nakunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Haya haya haya haya hayafai Haya haya haya haya hayafai Haya haya haya haya hayafai Haya haya haya haya hayafai

Unaniringia, huchukui simu Kila saa nikuninunia Natamani kuskia kutoka kwako Kunitenda kunitesa na kunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Kunitenda kunitesa na kunikejeli Ni mambo hayafai, hayafai Haya haya haya haya hayafai

Video

KIDUM - HAYAFAI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Thumbnail for Hayafai video
Loading...
In Queue
View Lyrics