Vile ninavyoona
Vile ninavyohisi
Sikai kama mtu
Anaficha hisia
Huwezi kuficha moto moshi ikitokea
Ukificha mapenzi wee unaumia ndani ndani
Nashindwa kuelewa hii ni mwenendo gani
Taratibu ni vema lakini isiwe kunirusha inje
[CHORUS]
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu ingawa mbali
(Kwetu) huko ni nyumbani
(Kwetu) ntakubeba kwetu
Taratibu ni vema lakini kusiwe mwengine
Nielezee kwa nini wee una hofu na mimi
Nakupenda, I love you, Je t'aime
Hakika Tazama Uso wangu
Nimekumbwa Na mzozo wa kiumapenzi
Natangaza wazi
Hadharani
Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona
[CHORUS]
(Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani ndani
Nishike mkononi twende mbali)
(Kwetu) ingawa mbali
(Kwetu) huko ni nyumbani
(Kwetu) ntakubeba kwetu
(Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani ndani
Nishike mkononi twende mbali)
(Kwetu) ingawa mbali
(Kwetu) huko ni nyumbani
(Kwetu, ntakubeba kwetu)
Natangaza wazi
Hadharani
Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona
[CHORUS]
(Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani ndani
Nishike mkononi twende mbali)
(Kwetu) ingawa mbali
(Kwetu) huko ni nyumbani
(Kwetu ntakubeba kwetu
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani ndani
Nishike mkononi twende mbali
Kwetu) ingawa mbali
(Kwetu) huko ni nyumbani)
(Kwetu ntakubeba kwetu
Wacha nikupende mpenzi
Wacha nikuhisi ndani ndani
Nishike mkononi twende mbali)