Kama vile simba amekula akashiba
(Ilogos Music yeah)
Nimpende nani kama si wewe
Niende kwa nani mwingine kutafuta penzi
Nimeridhika kwa penzi lako unanipa
Kwanza sa macho zangu hazioni mtu mwingine
Kama vile simba amekula akashiba
Sitaki mtu mwingiw wala kitu kingine
Penzi lako limenimaliza kiu
Masese mwili wangu unahisi unakwisha nguvu
Penzi lako limenimaliza kiu
Sina ubao wa kupenda tena
Mimi nimekupenda sana kwa moyo wote
Mimi na wewe hatuachani
Mimi nimekupenda sana kwa moyo wote
Mimi na wewe hatuachani
Hatuachani, hatuachani
Mimi nawe hatuachani
Basi songea kuja karibu
Karibu na mwili wangu unipe joto
Mtoto uko moto
Ukinitazama ni kama unalia
Na mwendo wako ni kama malkia
Aki ya Mungu kweli umebarikiwa
Ukinitazama nahisi kupagawa
Ukinitazama ni kama unalia
Na mwendo wako ni kama malkia
Aki ya Mungu kweli umebarikiwa
Ukinitazama nahisi kupagawa
Penzi lako limenimaliza kiu
Masese mwili wangu unahisi unakwisha nguvu
Penzi lako limenimaliza kiu
Sina ubao wa kupenda tena
Mimi nimekupenda sana kwa moyo wote
Mimi na wewe hatuachani
Mimi nimekupenda sana kwa moyo wote
Mimi na wewe hatuachani
Ukinitazama ni kama unalia
Na mwendo wako ni kama malkia
Aki ya Mungu kweli umebarikiwa
Ukinitazama nahisi kupagawa
Mimi nimekupenda sana kwa moyo wote
Mimi na wewe hatuachani
Mimi nimekupenda sana kwa moyo wote
Mimi na wewe hatuachani
(Ilogos Music)