Uncle Nico - Unaweza Bwana Lyrics

Unaweza Bwana Lyrics

Unaweza mammbo Yote yaloshinda wanadamu
Unaweza mammbo Yote hakuna likushindalo
Unaweza mammbo Yote Hilo Ndilo jina lako
Unaweza Unaweza Unaweza Bwana

Wainui na Wanyonge Kuwaketisha na Wafalme
Mioyo Iliyobondeka Umekandakanda Bwana
Umewafuta na Machozi wote Waliolia
Unaweza Unaweza Unaweza Bwana

Unaweza Unaweza Bwana
Unaweza Unaweza Bwana
Unaweza Unaweza Unaweza Bwana

Unaweza Unaweza Bwana
Unaweza Unaweza Bwana
Unaweza Unaweza Unaweza Bwana

Umenivusha na Mabonde,Milima Umenipandisha
Umekuwa Mwema Baba Niseme Nini Mbele Zako
Hulinganisha Haufananishwi Wewe Ni Mungu Wa Tofouti
Nakuaminia Unaweza Bwana
Umenishindia Maadui Walotaka Kuja Kabisa
Magonjwa yanotaka Kunimaliza Umeniponya Bwana
Hakuna Likushindalo Wewe upo Upande Wangu 
Jina Lako Unaweza Bwana 
Umenipa ata Nguvu ya Kukanyaga Nyoka Ngege
Hakuna Likushindalo Hili Ndilo Jina Lako Baba
Umeiponya Wenye Saratani,Ukoma Ukimwi Nakuaminia
Unaweza Unaweza Unaweza Bwana

Unaweza Unaweza Bwana
Unaweza Unaweza Bwana
Unaweza Unaweza Unaweza Bwana


Unaweza Bwana Video

Uncle Nico Songs

Related Songs