Sifa Lyrics

Mapito by Mr Seed cover art

Mr Seed - Mapito Lyrics

Artist:
Mr Seed

Lyrics

Vitu unafanya haziendi, haziendi
Haujakula from weekendi, from weekendi
Unaumia hapa ndani, hapa ndani
Na bado marafiki wanapretendi, wanapretendi

Ndugu wa karibu anakusema sema vibaya
Ndugu wa karibu anakuekea uongo
Hawajui unachopitia ae unachokiona ee
Hawajui unachopitia ae unachokiona ee
Mungu yupo na hajalala kamwe
Mungu yupo na hajalala kamwe

Ni mapito tu yanapita (Mungu anatulinda)

Hata kama umefinyiliwa wewe (Mungu anatulinda)

Ukianguka simama endelea wewe
Ukiumia muombe mungu baba wewe
Hautakufa kabla baraka zako wewe
Mungu ni mkuu kuliko shida zako we we we

Mm kama Ayubu alimuona utamuona
Na vidonda zilipona eeh eh, utapona we
Na Lazaro kafufuka eeh eh, muaminie
Na wanao kucheka eeh, watamuona maishani mwako

Video