To the left to the right
Oh my God me ago praise you today
To the left to the right oh Lord ah
This is how I feel everyday
When You smile at me everyday
Mungu wangu naomba uniguze buddy
Coz without you am no-nobody
Umeniosha kwa damu niko msafi sana
Mimi ni wako ah sitabishana
Kwa maisha yangu Baba wewe ndiwe Hosanna
Mi nakupenda sana
Vile nakupa sifa wanashituka
Leo naimba raga kesho rumba
Prucer nipe dundaa niwape dundaa
Kanisa inakatika Baba umeshuka eeh eeh
To the left to the right
Oh my God me ago praise you today
To the left to the right oh Lord ah
Mi naomba unipende every night and day
Ili niambie niambie hawa wasee
unipende every night and day
Nipeleke gospel every way
Sitaogopa nikianguka unanibeba
Kwa mashida unanijenga
Ju ya mwamba umenijenga
Kuna vile umenichukua-chukua ukanikumbatia nasikia rahaa (x2)
This is how I feel everyday
When You smile at me everyday
Mungu wangu naomba uniguze buddy
Prucer nipe dundaa niwape dundaa
Kanisa inakatika Baba umeshuka eeh eeh
The Lyrics published in this page is meant for educational and personal use only.