Mr Seed - Kwa Hao Lyrics

Lyrics

Starborn, Mr Seed Again Alright Masterpiece (Mavo on the beat...) VDJ Jones, uwachome na kingoko Call me call me call me Dezian 34 Gang

(Mavo on the Beat)

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao Ah kwa hao, huko ndani ndo makao Kama order, tunasifu kwa hao Huko ndani ndo makao(Kana order)

Yoh yoh cheki All over sudden amenibless tunana All over sudden amenicheki nana All over sudden amenibless me cheki Bless me, check me, bless me nana

Parte after party tunaparty tu kwa hao Ata wakorino wanaparty tu kwa hao Kama order wanachachisha wa hao Tunatambua Mungu tu ndio Baba Lao

Toka ngware ni lazima nipige sala Ju ya mahali nimetolewa na Maulana Better days ndo nilikuwa nasaka Baraka za leo ni mingi kushinda jana

Acha niimbie sir God  Kama basi nizidishe maombi Hata kwa seat ka sisongi na mbogi Mi najua atanilinda nikiwa naye sikosi

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao Ah kwa hao, huko ndani ndo makao Kama order, tunasifu kwa hao Huko ndani ndo makao(Kana order) Yoh yoh

Tangu kitambo ulinipenda Ukanivumilia ukanijenga Maisha ikinipigaga chenga Don't worry ju forever mi ni member

Creation itakase nibariki Si ati maisha ya kutafutanga kiki Nare nare bila kiberiti Holy Ghost fire unarauka kwenye kiti

Blessings shower za God wewe ndio dawa Nikilala huwezi kuninawa Daddy umenibless umenivisha mavazi Nobody can test...

Jah Jah, Jah Jah kwako tuko seti Jah jah kwako tuko seti Bila wewe jo haiwezi Siku za kiama sitaki iwe kesi

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao Ah kwa hao, huko ndani ndo makao Kama order, tunasifu kwa hao Huko ndani ndo makao(Kana order) Yoh yoh 

Naobey God, -- tumepass Even though Kenya kuna locust Ulinibless ukachange my past Siwezi kakusahau ata nikiiva shash

Na Disemba mimi husele your bash(Hapo Christmas) Fast -- mi siwezi miss church Ju najua Jah Jah utacatch Na ukicatch utafanya nikose cash

Master utanipata kwa church Master huwezi nipata na shash Kwa Christ jo pia kuna bash Mtakunywa damu ya Yesu

Man a bad man since I was born Jesus is the real don don dada Nina Musa pia sisi ni ma gang Kwa christ pia sisi ni magang

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao Ah kwa hao, huko ndani ndo makao Kama order, tunasifu kwa hao Huko ndani ndo makao(Kana order) Yoh yoh 

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao Ah kwa hao, huko ndani ndo makao Kama order, tunasifu kwa hao Huko ndani ndo makao(Kana order) Yoh yoh 

(Mavoh on the Beat)

Video

MR.SEED - KWA HAO ft KARTELO, BREEDER LW,MASTERPIECE,VUVA 34GVNG,MADOX (BOONDOCKS),DEZIAN,VDJ JONES

Thumbnail for Kwa Hao video
Loading...
In Queue
View Lyrics