Mtoto anataka kupapaswa
Apewe good loving sasa
Vile ameniguza mimi mpaka nimedata
Ayayaya
Anajua kutingisha pasapasa
Kila kitu anadai anapata
Kwenye team ya maplayer
Wachezaji mi sifungwi
Mapenzi yangu usicheze karata
Mara kila mahali nakufuata
Ooh nakupenda mama
Nipende usiigize karata
Mapenzi umeniwasha kama data
Ooh mama
Baby let me love you, love you, love you
I will love, love you, love you
Baby let me love you, love you, love you
I will love, love you, love you
Wacha nikupende, nikupende
Nikupende, nikupende
Wacha nikupende eh eh, nikupende eh
Nikupende, nikupende eh
Katoto ni karibu kanawaka
Macho na roho kamekamata
Napenda kanavyocheza kibata
Nikama kanataka tu kuwasha
Nataka nikupeleke Arusha
Nikudiki baby nikikuamsha
Kuamka kando yako siwezi zusha
Baby
Mapenzi yangu usicheze karata
Mara kila mahali nakufuata
Ooh nakutaka mama
Nipende usiigize karata
Mapenzi umeniwasha kama data
Ooh mama
Baby let me love you, love you, love you
I will love, love you, love you
Baby let me love you, love you, love you
I will love, love you, love you
Wacha nikupende, nikupende
Nikupende, nikupende
Wacha nikupende eh eh, nikupende eh
Nikupende, nikupende eh
Mtoto anataka kupapaswa
Apewe good loving sasa
Vile ameniguza mimi mpaka nimedata
Ayayaya
Mapenzi yangu usicheze karata
Mara kila mahali nakufuata
Kwenye team ya maplayer
Wachezaji nimeshtuka, mama...
NO no no no no