Bruz Newton - Nikunoma Lyrics

Contents:

Nikunoma Lyrics

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Ati wanakuita wewe nobody
Kukubeba ndogo ni ka huwezi
Hawajui Mungu wako ni daddy
Ukimcall hahitaji 'Please call me'

Jehovah chief Inspekta
Baba yao ye terminator
Hata mademon haziwezi kukuguza
Ju umejipin na Holly Ghost fire

I know I can do it, I know I can do it
I know I can do it do it...
I know I can do it, I know I can do it
I know I can do it do it...

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Nikundialala rent imepanda
Pia waks imekalala
Ngoma zinabamba thao mbili kwa mfuko
Wafuasi, wazazi, wanati na mababi

Wanataka money hawataki imani
Inaponya inalinda imakupa nguvu
Life bila Jah buda utakula ngumu
Utakula utalala lala

Life bila Christ manze utakula ngumu

I know I can do it, I know I can do it
I know I can do it do it...
I know I can do it, I know I can do it
I know I can do it do it...

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Izi ni mashida gani mnashinda mkisema
Hamjui kuna faith
Amini Mungu bwana
Faith can move mountains

Sina rent lakini nina Faith
Sina fees lakini nina Faith
Niko single lakini nina Faith
Niko na God ndo maana nina Faith

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)

Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)
Ni kunoma lakini nina Faith(Hu)
Ni kunoma lakini nina Faith(Ha)


Bruz Newton Songs

Related Songs