Mr Seed - Piganiange Lyrics
Lyrics
Praise the Lord (Amen) Leo naenda kuwasomea Bibilia Petro 4:8, Inasema vipi Pendaneni kwa moyo wote (Amen)
Na hii nafasi nataka kumpea Mr Seed hapa Na wana choir "Sailors" ...si mwapigie makofi (Starborn) Hey Mr Seed Again (Alexis on the Beat) Sailors 254
Asante kwa pendo Chakula na cha kulalia Wewe ni upendo Na Seed amekubalia
Asanti kwa pendo Chakula na cha kulalia Wewe ni upendo Na Sailors wamekubalia
Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange Tukipotea iyaa, tureke rekebishange Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange
Piganiange, piganiange Piganiange, piganiange
[Mr Seed] Oooh nakupenda bana jo (Aiyayaa) Zile ngori umenitoa kwa maisha yangu Sitaki hata doh (Aiyayaa) We ndio daddy oo
Oooh nakupenda bana jo (Aiyayaa) Zile ngori umenitoa kwa maisha yangu Sitaki hata doh We ndio daddy oo
[Miracle Baby] Nani alisema wagenge hawawezi piga injili ifike Na ni nani alisema injili tu ni yake peke yake Kwata waya, nenga ngita njeta wavita (Ndui ndui) Kwata waya, nenga ngita njeta wavita (Ndui ndui)
Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange Tukipotea iyaa, tureke rekebishange Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange
Piganiange, piganiange Piganiange, piganiange
[Shalkido] Niko high juu ya neno, walai ju ya neno Niko high juu ya neno, walai ju ya neno Niko high juu ya neno, walai ju ya neno Niko high juu ya neno, walai ju ya neno
Ee muoyo Jesu ee muoyo Nikio ndiraina ni tondu ee muoyo Ee muoyo Jesu ee muoyo Nikio ndiraina ni tondu ee muoyo
[Lexxy Yung] Pedi pedi pedi wa mahoya Leo ni kusifu tu na kuhoya Na hii journey imekuwa tu mahoya Nakumbuka nikikula tu U-Fresh Na madunya za kuhoya Wakakaza nikakazua na mahoya
Niko happy, niko happy Niko happy in Jesus Mighty name Itadai itadai, itadai gutongoria ainge Ni Messiah, ni Messiah, ni Messiah
Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange Tukipotea iyaa, tureke rekebishange Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange
Piganiange, piganiange Piganiange, piganiange
[Masilver] Sailors tumejitolea... Walai ututume injili ibambe Ibambe kubamba Toka zile enzi za "Jesu ni Mwathani" Masilver ni nyendete mwathani Na ndire ndahitia riathani Na ndire ndahitia riathani Na ndire ndahitia riathani
Tukikosea iyaa, tufinyana finya finnyange Tukipotea iyaa, tureke rekebishange Tukiropokwa iyaa, tufungafunga fungange Tukinyanyaswa iyaa, tupiga pigapinganiange
Piganiange, piganiange Piganiange, piganiange
(Giddy Vybz)
Video
MR.SEED x SAILORS - PIGANIANGE (OFFICIAL VIDEO) ( SMS SKIZA 7301639 TO 811 )