Sifa Lyrics

Ogopa Mungu by Mr Seed cover art

Mr Seed - Ogopa Mungu Lyrics

Artist:
Mr Seed

Lyrics

Starborn, Mr Seed Again
(Magix Enga on the beat)


Kama unapenda sifa 
Wewe kijana muogope Mungu
Umelala ukitesa usiku mchana
Muogope Mungu


Maisha haitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo
Hili neno halitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo


Kijana wa Bwana na kijana msafi
Hapendi maneno, hapendi kuparty
Kijana wa Bwana na kijana msafi
Hapendi vurugu anaogopa dhambi


Kijana wa Bwana na kijana msafi
Hapendi vurugu anaogopa dhambi


Kama unapenda sifa 
Wewe kijana muogope Mungu
Umelala ukitesa usiku mchana
Muogope Mungu


Maisha haitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo
Hili neno halitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo


Hizi mamedia zitakwisha
Kijana ukichachisha na mapicha
Ati Twitter mara filters
Snapchat, zitakwisha


Fire burn, fire burn, fire burn, fire burn
Wanachezea neno lake Mungu
Mta fire burn, fire burn, fire burn, fire burn
Mnachezea neno lake Mungu


Kama unapenda sifa 
Wewe kijana muogope Mungu
Umelala ukitesa usiku mchana
Muogope Mungu


Kama unapenda sifa 
Wewe kijana muogope Mungu
Umelala ukitesa usiku mchana
Muogope Mungu


Maisha haitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo
Hili neno halitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo


Maisha haitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo
Hili neno halitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo


Kijana wa Bwana na kijana msafi
Hapendi maneno, hapendi kuparty
Kijana wa Bwana na kijana msafi
Hapendi vurugu anaogopa dhambi


Kijana wa Bwana na kijana msafi
Hapendi vurugu anaogopa dhambi


Kama unapenda sifa 
Wewe kijana muogope Mungu
Umelala ukitesa usiku mchana
Muogope Mungu


Kama unapenda sifa 
Wewe kijana muogope Mungu
Umelala ukitesa usiku mchana
Muogope Mungu


Maisha haitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo
Hili neno halitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo


Maisha haitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo
Hili neno halitaki mchezo
Ukaisha usipate kipigo


Video