Sifa Lyrics

Hakuna Kama Wewe by Mr Seed cover art

Mr Seed - Hakuna Kama Wewe Lyrics

Artist:
Mr Seed

Lyrics

Alitufunza tupendane, tuombeane
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Bahati tena, alitufunza tupendane, tuombeane
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe


Eeh Baba hakuna kama wewe
Mbingu na dunia zinakupa sifa
Baba aah baba aah (Mr Seed again)


Eeh Baba hakuna kama wewe
Mbingu na dunia zinakupa sifa
Baba aah baba aah 


Unakumbuka stori ya msamaria mwema alifanya wema
Nipe nguvu nami nitatenda mema, Yesu wee
Kila pahali nitawapa habari njema
Nitahubiri neno lako wee
Bwana wa mabwana we ni mwema, Yesu wee


Ukaniosha dhambi ukanieka pahali pema
Nakupenda baba wewe
Jina lako lihimidiwe lisujudiwe
Yesu wee yeah yeah


Alitufunza tupendane, tuombeane
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Baba, alitufunza tupendane, tuombeane
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe


Eeh Baba hakuna kama wewe
Mbingu na dunia zinakupa sifa
Baba aah baba aah 


Eeh Baba hakuna kama wewe
Mbingu na dunia zinakupa sifa
Baba aah baba aah 


Put your hands up, maboko likolo
Shake your legs now, katika lokolo
Shout his name now, mulolo mulolo
What you have seen now, ametenda!


Put your hands up, maboko likolo
Shake your legs now, katika lokolo
Shout his name now, mulolo mulolo
What you have seen now, ametenda!






Put your hands up, maboko likolo
Shake your legs now, katika lokolo
Shout his name now, mulolo mulolo
What you have seen now, ametenda!


Put your hands up, maboko likolo
Shake your legs now, katika lokolo
Shout his name now, mulolo mulolo
What you have seen now, ametenda!


Hehe, sifa na utukufu zimrudie Yesu
Kwa yote ametenda mwanadamu hawezi kutenda


Sasa ni wakati wa dozeh, wakati wa kukatikia Yesu


Azambe ah lokolo
Mikono kwenye hewa maboko likolo
Azambe ah lokolo
Mikono kwenye hewa maboko likolo


Put your hands up, maboko likolo
Shake your legs now, katika lokolo
Shout his name now, mulolo mulolo
What you have seen now, ametenda!


Video