Mr Seed - Hubadiliki Lyrics

Contents:

Hubadiliki Lyrics

Mr Seed Again
(ALexis on The Beat)

Wanadamu wanabadilikaga
Hata ufanye nini wanalalamikaga
Mungu wetu wala habadiliki
Yeye ni yuleyule jana tena milele

Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh

Yule yule wa zamani
Yule yule ni wewe
Wa Musa ni wewe
Wa Yakobo ni wewe
Hata wa Bella ni yeye yule
Jana leo na milele hubadiliki eh

Rafiki yangu anaweza badilika
Na mama yangu anaweza badilika
Eh eh ila ni wewe hubadiliki
Ila ni wewe

Ah natafuta, eh natafuta
Mi natafuta wa kukufanana
Hakuna wa kukufanana
Mi nakupenda Yesu, kupenda Yesu
Mi bado sijaona kama wewe
Mpaka sasa uko mwenyewe
Wewe ni Mungu tena nguvu yangu
Rafiki yangu tena msiri wangu
Yoh yoh yoh yoh, ye ye ye ye

Mi bado sijaona kama wewe
Mpaka sasa uko mwenyewe

Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh

Hubadiliki yeyeye
Oooh hubadiliki yeah yeah

Faithful God you are, you are, you are
Crazy love with you Jesus Yeah yeah yeah
Oh nah nah nah nah
Watakuja wataenda
Hubadiliki yoh daddy yoh yoh
Watakuja wataenda eh
Hubadiliki yoh daddy yoh yeah

Wewe ni Mungu tena nguvu yangu
Rafiki yangu tena msiri wangu
Yoh yoh yoh yoh, yeah yeah yeah

Mi bado sijaona kama wewe
Mpaka sasa uko mwenyewe

Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh
Eh ah oh oh, hubadiliki eh


Mr Seed Songs

Related Songs