Kama vile Mungu alipenda kanisa
Baby nitakupenda kabisa
Mimi, sitakutenda kabisa
Baby nitakuombea kabisa
You're my superstar
Kwa moyo wangu umeleta furaha
You're my superstar
Kwa moyo wangu umeleta furaha
Namshukuru
Mungu huyo, Mungu huyo
Kwa kukuumba beiby
Mungu huyo, Mungu huyo
Kwa kukuumba beiby
Wewe ni baraka kutoka kwa Baba
Kwa moyo wangu ni upendo umejaa jaa
Na tena kama feeings kamili
Ninayo ndani ya mimi
I wanna see you kando na mimi
Usiwe mbali na mimi
Eeeh, eh Mungu nasema asante
Kwa yale umetenda na yote
Baba nasema Asante
Kwa kunipa mrembo zaidi ya wote
You're my superstar
Kwa moyo wangu umeleta furaha
You're my superstar
Kwa moyo wangu umeleta furaha
Namshukuru
Mungu huyo, Mungu huyo
Kwa kukuumba beiby
Mungu huyo, Mungu huyo
Kwa kukuumba beiby
Ni siku yetu leo
Tuko kanisani leo
Tunaoana na leo
Mi nakupenda oweoo
Mmmh, hesabu moja hadi tatu
Our wish leo has come true
Nakupenda and thats true
Shahidi ni Mungu aliye juu
Baba na mama wamekubali
Ndugu na dada wamekubali
Marafiki wamekubali
Zaidi ya yote Mungu amekubali
You're my superstar
Kwa moyo wangu umeleta furaha
You're my superstar
Kwa moyo wangu umeleta furaha
Namshukuru
Mungu huyo, Mungu huyo
Kwa kukuumba beiby
Mungu huyo, Mungu huyo
Kwa kukuumba beiby
Ooooh nakupenda kupenda mpenzi wangu wee
Eii yeah nakupenda kupenda mpenzi wangu wee
Eii yeah nakupenda kupenda mpenzi my beiby ooh wee
Eii yeah nakupenda kupenda my beiby yeah