Sifa Lyrics

Miracle by Mr Seed cover art

Mr Seed - Miracle Lyrics

Artist:
Mr Seed

Lyrics

Naeza taka sana uone miracle
Naeza taka ukuje uone miracle
Nah nah nah yaani miracle
Nah nah nah yaani miracle
(Mr Seed Again)


Holy Ghost, holy ghost fire 
Holy Ghost, holy ghost fire 
Fire fire mi na worship God
Ata ka ni kuwa mafala


Ushaingia bukla na Bible
Ju wameandika no idle
Siinamii mtu mimi never
I don't worship ma idol


Glory mi hupea sir Jah
Ju sijai bleki na njaa
Ju hazijai ripoti kwa bar
Ata ka sinyoi bado ye ni baba


Ushaipita chuom upate --
Mess kwa neiba uliachanga ka umemess
Siku hizi alibleach ju ulikuwa unakula mess
Kuomoka hukuwaga best na inakuwanga common sense


Naeza taka sana uone miracle
Naeza taka ukuje uone miracle
Nah nah nah yaani miracle
Nah nah nah yaani miracle


Hebu cheki zile vitu mi nadu (Du)
Yesu wangu amenibariki niko juu (Juu juu juu)
Hebu cheki zile vitu mi nadu (Du)
Hizi ni baraka mtu wangu sio ju ju ju


Mi napanda level to level
Hata kama hutaki devil
Jina la Yesu linafanya mimi nipate favour
Sitajipiga kifua ati ni mimi najua
Nguvu za Yesu kila siku daily inaniinua


Sifanyangi mimi makiki
Nafanyanga mimi mziki
Nasambaza hivo injili
Heri hata mi nikose 
Lakini mi niishi fiti


Sifanyangi mimi makiki
Nafanyanga mimi mziki
Nasambaza hivo injili
Heri hata mi nikose 


Naeza taka sana uone miracle
Naeza taka ukuje uone miracle
Nah nah nah yaani miracle
Nah nah nah yaani miracle


Naeza taka sana uone miracle
Naeza taka ukuje uone miracle
Nah nah nah yaani miracle
Nah nah nah yaani miracle


Watoto wangu eeh
Ye ndio baba yetu
Devil ni mkali aliua mama
Akaua baba sasa torokeni


Watoto wa Yesu eeh 
Ye ndio baba yetu
Shetani ni mkali aliua mama
Akaua baba sasa twendeni kwa Yesu eeh..


Naeza taka sana uone miracle
Naeza taka ukuje uone miracle
Nah nah nah yaani miracle
Nah nah nah yaani miracle


Watoto wangu eeh
Ye ndio baba yetu
Devil ni mkali aliua mama
Akaua baba sasa torokeni


Video