Sifaeli Mwabuka - Herode Lyrics
Lyrics
Herode mfalme wa Waisraeli Herode mfalme wa Waisraeli Alisikia habari kutoka kwa mama wajuzi Alisikia habari kutoka kwa mama wajuzi
Yakwamba katika hori amezaliwa mtoto Yakwamba katika hori amezaliwa mtoto Kwa jina lake wanamuita Emmanueli Kwa jina lake wanamuita Emmanueli, yeah
Akawatuma wapelelezi, Herode Akaagiza jeshi lake liende Jerusalemu Akawatuma wapelelezi, Herode Akaagiza jeshi lake liende Jerusalemu
Jambo la kwanza, mtoto auawe Jambo la pili, atafutwe jina lake Jambo la tatu, haribu mpango wake Jambo la nne, haribu ndoto zake Jambo la tano, asitangazwe mfalme Eeeh Herode
Jambo la kwanza, mtoto auawe Jambo la pili, atafutwe jina lake Jambo la tatu, haribu mpango wake Jambo la nne, haribu ndoto zake Jambo la tano, asitangazwe mfalme Eeeh Herode
Hakujuwa aliyezaliwa, simba wa Yuda Hakujuwa jina lake ni moto ulao Hakujuwa mwanaume Yesu ni mfalme wa ulimwengu
Hakujuwa aliyezaliwa, simba wa Yuda Hakujuwa jina lake ni moto ulao Hakujuwa mwanaume Yesu ni mfalme wa ulimwengu Yeah, Herode
Oooh mwambie Herode(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie nalindwa na Yesu(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie Herode mama(Mimi hautoniweza aah) Maneno yako na vitisho vyako(Mimi hautoniweza aah)
Oooh mwambie ninaye simba wa Yuda(Mimi hautoniweza aah) Maneno yako sio bunduki kwangu(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie Herode mama(Mimi hautoniweza aah) Eeeh mwambie, mwambie(Mimi hautoniweza aah)
Herode wako yuko wapi ndugu yangu? Herode wako yuko wapi mama yangu? Herode wako yuko wapi ndugu yangu? Herode wako yuko wapi mama yangu? Eeh, Herode
Anatafuta nyota yako oooh Anatafuta elimu yako oooh Anatafuta uchumi wako oooh Anawinda ndoa yako iharibike(Hataliweza) Anawinda ndoto yako isitimie(Hataliweza) Anawinda mchumba wako akutenganishe(Hatakuweza) Anaagiza jeshi lake likuuwe(Hatakuweza aah)
Oooh mwambie Herode(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie nalindwa na Yesu(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie Herode mama(Mimi hautoniweza aah) Maneno yako na vitisho vyako(Mimi hautoniweza aah)
Oooh mwambie ninaye simba wa Yuda(Mimi hautoniweza aah) Maneno yako sio bunduki kwangu(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie Herode mama(Mimi hautoniweza aah) Eeeh mwambie, mwambie(Mimi hautoniweza aah)
Oooh mwambie Herode(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie nalindwa na Yesu(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie Herode mama(Mimi hautoniweza aah) Maneno yako na vitisho vyako(Mimi hautoniweza aah)
Oooh mwambie ninaye simba wa Yuda(Mimi hautoniweza aah) Maneno yako sio bunduki kwangu(Mimi hautoniweza aah) Oooh mwambie Herode mama(Mimi hautoniweza aah) Eeeh mwambie, mwambie(Mimi hautoniweza aah)
Video
HERODE-BY SIFAELI MWABUKA.SKIZA CODE 85610001.
Meaning & Inspiration
Sifaeli Mwabuka’s approach to the narrative of Herod is a masterclass in contextual theology. He doesn’t treat the slaughter of the innocents or the threat to the infant Jesus as a distant, dusty relic of history found in Matthew 2. Instead, he breathes the political tension of the East African air into it.
Musically, the track pulls from the driving, persistent pulse of contemporary Swahili gospel, which often functions as both a devotional act and a form of social commentary. You hear it in the way he lists the enemy’s tasks: “Jambo la kwanza, mtoto auawe / Jambo la pili, atafutwe jina lake.” The enumeration is clinical, almost bureaucratic. It captures the cold, calculated nature of opposition. By framing Herod’s hatred as a checklist—killing the child, hunting the name, destroying the plan—Mwabuka grounds the biblical antagonist in the reality of human systemic malice. It’s not just a king in a palace; it’s any force that targets one’s future, marriage, or economic stability.
When Mwabuka sings, “Hakujuwa aliyezaliwa, simba wa Yuda,” he shifts the power dynamic entirely. He strips Herod of his perceived majesty by contrasting it with the “Lion of Judah” and the “consuming fire.” It’s a recurring motif in African gospel traditions to view Christ not merely as a gentle shepherd, but as an overwhelming, protective force against the “Herods” of our daily lives. The slang-inflected defiant refrain, “Mimi hautoniweza” (You won’t be able to overcome me), acts as a protective prayer. It’s meant to be shouted down the streets of Nairobi or Dar es Salaam, turning the music into an armor-plating for the listener.
Does the message get lost in the vibe? Honestly, the "vibe" is the point. If this were a somber hymn, it might be easier to ignore the gravity of the spiritual warfare he’s describing. By packing these verses into a rhythm that demands movement, Mwabuka forces the listener to embody the resistance. You aren't just contemplating the protection of God; you are rhythmically asserting it against your own personal "Herode."
What strikes me, though, is the transition toward the end: “Herode wako yuko wapi ndugu yangu?” (Where is your Herod, my brother?). It’s an uncomfortable pivot. He moves from the story of the Nativity to a direct diagnostic check. The song stops being about a Roman-era monarch and becomes a mirror. It asks us to identify the specific threats in our own lives—our career, our marriage, our dreams—that are being hunted.
I’m left wondering about the cost of that confidence. While the chorus is an absolute declaration of victory, there’s an underlying tension in acknowledging that the Herods exist at all. We want to believe the threat is nullified because we claim it is, but the song demands that we remain in a state of active, vocal vigilance. It’s a messy, necessary kind of faith—one that doesn't just ask for peace, but shouts back at the darkness.