Bwana U Sehemu Yangu

Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.Share:

Write a review of Bwana U Sehemu Yangu:

0 Comments/Reviews


Elizabeth Nyambura

@elizabeth-nyambura

Bio

View all songs, albums & biography of Elizabeth Nyambura

View Profile

Bible Verses for Bwana U Sehemu Yangu

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music