Uliumba ulimwengu
Kwa matamshi yako, ikawa
Ulimpulizia binadamu
Pumzi yako, akawa
Wanishangaza aaah
Matendo yako ni makuu nayafurahia
Wanishangaza aaah
Binadamu ni nani, wamfikiria
Nani kama Yahweh
yahweh, Yahweh
Hulinganishwi.. Wewe.. Yahweh
Nani kama Yahweh
Yahweh, Yahweh
Hulinganishwi.. Wewe.. Yahweh
Mungu Mwamuzi
Mungu Mwenyezi
Bila wewe, siwezi
Msingi wangu, ngao yangu
Ngome yanguuuuu..ooh ni wewe
Wanishangaza, aaah
matendo yako ni makuu nayafurahia
Wanishangaza aaah
Binadamu ni nani, wamfikiria
Nani kama Yahweh
yahweh, Yahweh
Hulinganishwi.. Wewe.. Yahweh
Nani kama Yahweh
Yahweh, Yahweh
Hulinganishwi.. Wewe.. Yahweh
Jina hilo, Jina Yahweh
Tukiliita twapona