Sifa Lyrics

Upo by Mr Seed cover art

Mr Seed - Upo Lyrics

Artist:
Mr Seed

Lyrics


Mr Seed again, Solomon Mkubwa


Mmmh tunakuamini daily 
Mmmh tunakungoja daily baba


Eeh na giza limejaa, angaza tukuone
Mmmh wagonjwa wamejaa shuka uwaponye
Eeh na giza limejaa, angaza tukuone
eeeh wagonjwa wamejaa shuka uwaponye


Wacha wajue kwamba upo(upo) 
Baba upo(baba upo)
Wacha wajue kwamba upo(upo) 
Baba upo 


Wewe upo ai,
Wewe upo  
Wewe upo mmmh
Wewe upo


Watu wanakuhitaji bwana
Watu wanakungoja
Kanisa linakugoja
Wanamuziki tunakungoja
Tunataka tuone mwangaza mbele yetu


Giza limejaa, 
Tunahitaji tuone mwanga
Wangonjwa wamejaa, 
wengine wanahitaji uponyaji


Oooh hakuna pesa hakuna job
Wengine wanahitaji wapate kazi
Tumekuamini wewe upo Mungu
Kwako tegemeo letu tumelala


Akili zetu zote ni kwako bwana
Wewe upo, wewe upo, wewe upo woo
Tunakujua wewe upo Mungu
Unatowanga watu chini unawaleta juu


Kumbuka huyu mama 
Anaye mgonjwa hospitalini
Kumbuka familia hii
Inakungoja bwana


Kanisa linakungoja
Tuone mwangaza mpya
Wanamuziki tunakungoja
Tuone mwangaza mpya


Wewe upo, wewe upo, wewe upo


Na giza limejaa, angaza tukuone
Wagonjwa wamejaa shuka uwaponye
Na giza limejaa, angaza tukuone
Wagonjwa wamejaa shuka uwaponye


Wacha wajue kwamba upo(upo) 
Baba upo(baba upo)
Wacha wajue kwamba upo(upo) 
Baba upo 


Wewe upo ai,
Wewe upo  
Wewe upo mmmh
Wewe upo


Upo Mungu wangu usiyesinzia
Upo Mungu wangu unayetujua
Seed, Mr Seed, unamjua kwa majina yake
Oooh upo, upo oooh


Tunakuamini Mungu
Hatutabaki jinsi tulivyo
Maisha yako hayatabiki jinsi ulivyo
Amen, Wewe Upo!
 


Video