Martha Mwaipaja - Ni Mungu Ametaka Lyrics
Lyrics
Aaana… tuelewaa Huyu Mungu anatuelewaa Aaa…natujuaa Huyu Baba anatujuaaa Uuuu..siteseke Ili wakuelewe ameshakuelewaa Uuu…sihangaike Kwa kukubali Mungu amesha-kukubaliii Kuna mambo Ni Mungu ametaka mwenyewe Kwa sababu ametaka na leo imekua Kuna vitu alisha vikubali Baba Amekubali na sasa imekua Kuna mipongo alisha-nipangia Kwa sababu amepanga sasa imekua Kuna vitu alisha-vielewa kwangu Ameshaelewa… na leo imekua
Nilijitahidi mimi… kuupata ushindi Huu ushindi wangu… ni Mungu ametaka Nilipambanaa nijitetee mwenyewe Kushinda kwangu…ni Yeye alitaka Nilipambana mimi niyashinde magumu yale Siku niliyoshinda…ni Yeye alitaka Ametaka Mungu…aametaka mwenyewe Kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka Ametakaa ametaka mwenyewe Maisha yangu leo ni Yeye ametaka Haa.. haleluyaa Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka aaaaah Huyu Mungu wa ajabu sana maana akitaka… ameshataka Hah Asante Mungu wetu
Kuna mambo ndugu Amesha-yapanga kwako Kwa sababu kapanga lazima itakua Kuna vitu… amesha vikubali kwako Akisha kubali lazima itakua Kuna mambo ameyaficha wasiyaone Ameshakupangia lazima itakua Usijikatae rafiki wewe jikubali Amesha kukubali lazima itakua Usijitaabishe utashinda namma gani Ameshataka ushinda lazima utashinda Usijisemeshe sana mbona inachelewa Ameshakukubali lazima itakua Ametaka mungu ametaka mwenyewe Amesha kukubali lazima itakua Ametaka upone ametaka ushinde Nakwambia lazima itakua ho hoo ho ooh Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeye ametaka Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeya ametaka Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeya ametaka Ametaka Mungu ametaka mwenyewe kila kitu cha kwangu ni Yeya ametaka yeeeeh Ooooh…oooh
Video
Martha Mwaipaja - NI MUNGU AMETAKA ( official video )