Ninavua viatu vyangu mbele zako
Maana mahali pako ni nchi takatifu
Ninavua viatu vyangu mbele zako
Maana mahali pako nchi takatifu
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Ninavua viatu vyangu mbele zako
Maana mahali pako ni nchi takatifu
Ninavua viatu vyangu mbele zako
Maana mahali pako nchi takatifu
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana, nchi yako takatifu
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo