Reuben Kigame - Pokea Sifa Lyrics

Pokea Sifa Lyrics

Pokea sifa, bwana pokea sifa ,
jina lako litukuzwe,
bwana pokea sifa

Umeumba, vyote viishivyo
bwana pokea sifa
Dunia, jua na mwezi
bwana pokea sifa

Halleluyah
Jina lako baba, jina lako litukuzwe
Malaika wakuabudu,
bwana pokea sifa
Ulimwengu tunakuabudu
bwana pokea sifa

Bwana wetu
Jina lako takatifu
jina lako litukuzwe,
bwana pokea sifa
Enzi yako ni ya milele
bwana pokea sifa


Pokea Sifa Video

Reuben Kigame Songs

Related Songs