Wastahili mwanakondoo wa Mungu

Wastahili mwanakondoo wa Mungu Lyrics

Mfalme wa mataifa wewe ni wathamana sana
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,
upewe heshima, sifa na uwezo
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,

wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(mwana kondoo wa mungu)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa

uliyenilipia deni, ukanitoa kwenye aibu,
ukanifanya mwana wako
umenitoa kwenye matope haukuniacha nizame yesu
wastahili mwanakondoo wa mungu uliyechinjwa,

(milele)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(umeinuliwa)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa

Mbinguni hata duniani, hata chini ya dunia,
hakuna angeyeweza kuniokoa,
ila ni wewe yesu, mwana wa Mungu
umenifanya mteule wako, mtu wa milki ya Mungu
niwe kuwa wa kifalme,
mwana kondoo wa mungu, uliyechinjwa.


wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(tunakuinua)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa


umeshinda kifo na mauti, unaketi kuume kwa Baba
malaika wakuabudu
Mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa!
ukapewa jina bora, lipitalo majina yote
kwa jina lako, litakiri wewe ni bwana

(umeenzika sana)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa
(tunakuinua)
wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa

@ Sarah Wangui
You are worthy, the son of God who was slainShare:

Write a review/comment of Wastahili Mwanakondoo Wa Mungu:

3 Comments/Reviews

 • C.k.Peterson

  Nimeutafuta huu wimbo for 2 years after kuuskia somewhere.Today I've sang with you like a thousand times..God bless you 3 weeks ago

 • Sally

  kweli wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa 3 weeks ago

 • Daniel Wainaina

  may God bless that voice 1 year ago


 • Sarah Wangui

  @sarah-wangui

  Bio

  View all songs, albums & biography of Sarah Wangui

  View Profile

  Bible Verses for Wastahili mwanakondoo wa Mungu

  No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

  Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music