Ben Pol - Kisebusebu Lyrics
Lyrics
Kisebusebu wee, kisebusebu wee Kisebusebu wee Kisebusebu wee, kisebusebu wee Kisebusebu wee
Mwenzio roho yangu Ilianza kutakata kwako wee Na we ndo mboni yangu Na ndo kibanda nilijificha kwako wee
Unawaza ni? Kwanini? Mbona wee hueleweki Mara juu mara chini Kwani tatizo ni nini?
Ndo maana kwenu hukunipeleka Ulisita sita Na nishatangaza ndoa Ila bado nina mapicha picha

Mara nataka ndoa nawe Mara sitaki nimeghairi Mara nataka tuoane Mara ngoja kwanza subiri
Mara nataka ndoa nawe Mara sitaki nimeghairi Mara nataka tuoane Mara ngoja kwanza subiri
Kisebusebu wee, kisebusebu wee Kisebusebu wee Kisebusebu wee, kisebusebu wee Kisebusebu wee
Kukuhesabu mema yangu wee Kwako ni bure Pengine sijui mapenzi Labda nitafute shule Unaniongezea mastress na bado nitafute tule Sometimes nawaza hivi ni chumba au msukule
Uko sawa na malaika aliimba Nyashinski Sometimes uko Online na simu zangu bado hushiki Sim sim za kiroho babu utanitoa roho japo Sisemi kitu kwako, wakati nadumisha mapenzi unanitoa jasho
Nimekumeet sikuelewi Ama unanipenda nikuvumilie Unanichanganya sikuelewi Mara unataka tuachane
Mara nataka ndoa nawe Mara sitaki nimeghairi Mara nataka tuoane Mara ngoja kwanza subiri
Mara nataka ndoa nawe Mara sitaki nimeghairi Mara nataka tuoane Mara ngoja kwanza subiri
Kisebusebu wee, kisebusebu wee Kisebusebu wee Kisebusebu wee, kisebusebu wee Kisebusebu wee
Mara nataka ndoa nawe Mara sitaki nimeghairi Mara nataka tuoane Mara ngoja kwanza subiri
Video
Ben Pol - KISEBUSEBU ft. Billnass (Official Audio)