HUBADILIKI (Haubadiliki - You Never Change) Lyrics

Swahili Songs Playlist Music Videos

HUBADILIKI (Haubadiliki - You Never Change) Lyrics

Mp3 Song

Hubadiliki wewe ni yule yule
Hulinganishwi jiwe la pembeni
Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu na nchi
Ndio maana mi nasema asante

Hapo mwanzo kulikuwa neno
naye neno alikuwa kwa Mungu,
naye neno alikuwa ni Mungu
Vitu vyote uonavyo sasa Vilifanyika kwa huyo neno
Ndani yake imo uzima na nuru
Nayo nuru yang’aa gizani
Nalo giza haikuiweza
Mwamba wetu, kimbilio ni wewe mkuu x2

Chorus
Hubadiliki wewe ni yule yule
Hulinganishwi jiwe la pembeni
Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu nan chi
Ndio maana mi nasema asante

Baba wewe ni mwema nikiwa nawe
nitaogopa nani Matendo yako Bwana yashangaza sana, nani kama wewe Miaka nenda, miaka rudi
Unatawala mbingu na nchi
Ndio maana mi nasema asanteTop Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Hubadiliki (haubadiliki - You Never Change):

1 Comments/Reviews

  • VARELIAN

    Gob bless you....you have blessed me 2 years ago