Sifa Lyrics

Utanifikia by Pitson cover art

Pitson - Utanifikia Lyrics

Artist:
Pitson

Lyrics

Eh eh, eeeh eeh eh 
Eh eh, eeeh eeh eh 
Eh eh, eeeh eeh eh 
Eh eh, eeeh eeh eh 


Eh eh, eeeh eeh eh 
Eh eh, eeeh eeh eh 
Eh eh, eeeh eeh eh 
Eh eh, eeeh eeh eh 


Naje ningezaliwa kwa nchi isiyokujua
Nikikutaja tu wananiua
Kubeba kitabu chako baba ikuwe hatia
Ungenifikia, ungenifikia 


Na vile nimeonja uzuri wako sasa najua
Na vile nimeonja upendo wako sasa najua
Ungenifikia, we ni baba ungenifikia 
Ungenifikia, we ni baba 


Niteleze, nianguke
Nikosee eh na nichafuke
Utanifikia, utanifikia
Utanifikia, utanifikia


Niteleze, nianguke
Nikosee eh na nichafuke
Utanifikia, utanifikia
Utanifikia, utanifikia


Na je ningependana na mpenzi asiyekujua
Nikose wakati wako Baba ameshachukua
Kubeba kitabu chako Baba ikuwe ushamba
Ungenifikia, ungenifikia 


Na vile nimeonja uzuri wako sasa najua
Na vile nimeonja upendo wako sasa najua
Ungenifikia, we ni baba ungenifikia 
Ungenifikia, we ni baba 


Niteleze, nianguke
Nikosee eh na nichafuke
Utanifikia, utanifikia
Utanifikia, utanifikia


Niteleze, nianguke
Nikosee eh na nichafuke
Utanifikia, utanifikia
Utanifikia, utanifikia


Niteleze, nianguke
Nikosee eh na nichafuke
Utanifikia, utanifikia
Utanifikia, utanifikia


Niteleze, nianguke
Nikosee eh na nichafuke
Utanifikia, utanifikia
Utanifikia, utanifikia


Video