Mr Seed - Pepeta Lyrics

Contents:

Pepeta Lyrics

Yoh yoh yoh yoh
Yoh yoh yoh yoh
Ehe brrr bang
(Starborn)

Mr Seed again
Ndume aah
Brrr bang bang
(Starborn)

Walidai ati nitakufa someday
Nitakufa someday
Hizi mashida zitanimada one day
Zitanimada one day

God akakam thru'
Ngoma yangu ya kwanza nikatoa nikiwa form 2
Hizi mabaraka baraka mimi nazipata pata tu
Jina lake nimelichora kama tattoo(Yao yao)

Nasema ban on the beat nipe mdundo yoo
Mi nahubiri kwa mafumbo yoh
Baraka zinakam thru' eey
Round one hata round two

Nasema ban on the beat nipe mdundo yoo
Nahubiri kwa mafumbo yoh
Na Yesu atakam thru' yoh
Nasema atakam thru' yoh

Huyu shetani 
Tunampepeta pepeta aah, tunampepeta
Hizi mapepo
Tunazipepeta pepeta aah, tunazipepeta

Pepeta, pepeta, pepeta, pepeta
Aah pepeta pepeta
Pepeta, pepeta, pepeta, pepeta
Aah pepeta 

Ndume one time bizy bizy blaze
Nimekupa roho yangu unikande
Na kwa kiwanja ni mkate
Mazigiza zigiza chobo nimlambe

Neno la Bwana kwa wimbo
Na imani ndio mkingo
Kuokoka ndio mtindo
Oooh yeah, ndio mtindo

Nikilemewa unibebe be
Ufukuze mepepe pe
Kwa adui unitetee te
Eeeh unitete te

Nikilemewa unibebe be
Ufukuze mepepe pe
Kwa adui unitetee te
Eeeh unitete te

Huyu shetani 
Tunampepeta pepeta aah, tunampepeta
Hizi mapepo
Tunazipepeta pepeta aah, tunazipepeta

Pepeta, pepeta, pepeta, pepeta
Aah pepeta pepeta
Pepeta, pepeta, pepeta, pepeta
Aah pepeta pepeta

Nasema ban on the beat nipe mdundo yoo
Mi nahubiri kwa mafumbo yoh
Baraka zinakam thru' eey
Round one hata round two

Nasema ban on the beat nipe mdundo yoo
Nahubiri kwa mafumbo yoh
Na Yesu atakam thru' yoh
Nasema atakam thru' yoh


Mr Seed Songs

Related Songs