Sifa Lyrics

Nanyenyekea by Evelyn Wanjiru cover art

Evelyn Wanjiru - Nanyenyekea Lyrics

Artist:
Evelyn Wanjiru
Album:
Celebrate
Official Release:
20 Jul 2019

Lyrics

Halleluyah Halleluyah
Nanyenyekea baba utukuke
Nanyenyekea baba utukuke
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu


Nanyenyekea baba utukuke
Nanyenyekea baba utukuke
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu


Pako patakatifu baba
Napakaribia na moyo wenye ibada
Navunjika mbele zako nikikiri
Wewe ni mtakatifu Mungu usiye na mfano
Nitaimba sifa zako nisimulie makuu yako


Nanyenyekea baba utukuke
Nanyenyekea baba utukuke
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu


Wastahili baba kupokea utukufu
Heshima na mamlaka na zako ewe baba
Wastahili baba kupokea utukufu
Heshima na mamlaka ni zako ewe baba


Nanyenyekea baba utukuke
Nanyenyekea baba utukuke
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu


Nanyenyekea baba utukuke
Nanyenyekea baba utukuke
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu


Nanyenyekea baba utukuke
Nanyenyekea baba utukuke
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili ibada yangu
Wastahili heshima yangu


Video