Naendelea Mbele (I'm Moving Forward)

Naendelea Mbele (I'm Moving Forward) Lyrics

Nikiwiza nilikotoka 
Nikifikiria yale yote nimepitia 
Nakumbuka ushindi 
Nakumbuka machozi yote yamo moyoni  .

Nikiwiza nilikotoka 
Nikifikiria yale yote nimepitia 
Mazuri na mabaya 
Nimeaumua sitaishi pale  .

Mimi najua sirudi nyuma 
Naendelea mbele 
Mimi najua sirudi nyuma 
Naendelea mbele  .

Yaliyopita si ndwele 
Naganga yajayo 
Nashukuru kwa yote yaliyonijenga 
Na kwa kuinuliwa 
Sitaenda mbele kama naangalia ya kale 
Nitatarajia yanayojiri 
Nashukuru kwa yote nimejifundisha 
Nashukuru nimekuwa  .

Mimi najua sirudi nyuma 
Naendelea mbele 
Mimi najua sirudi nyuma 
Naendelea mbele 
Mimi najua sirudi nyuma 
Naendelea mbele .

Chorus translates to
I know I'm not going back 
I'm moving forward


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Naendelea Mbele (i'm Moving Forward):

0 Comments/Reviews