Nadia Mukami - Ikamate Hiyo Lyrics

Lyrics

Tamu kama embe dodo Nitakupa mpaka uzirai Hili penzi si la kitoto Utabaki umelikubali

Taratibu bwana mkunaji Leo nashake ki Nicki Minaji

Njoo uniongezee Ikamate usilegezee Nauliza niongezee Ikamate usilegezee

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama umependa ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

(Ikamate sana, ikamate hiyo)

Zama ndani gizani baba Mwiba wa kujitia huna pole Wewe ni mustarabu kaka Ikamate mpaka ipoe

Vile unacheki unamarinate I am the tavern utarelate Come let give you likkle taste Later me and you participate

Njoo uniongezee Ikamate usilegezee Nauliza niongezee Ikamate usilegezee

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama umependa ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Vile unacheki unamarinate I am the tavern utarelate Come let give you likkle taste Later me and you participate

Njoo uniongezee(Uniongezee...) Ukitaka ikamate(Iyo iyo iyo) Ikamate hiyo, Ikamate

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama umependa ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo Ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo Ikamate sana, ikamate hiyo

Video

Nadia Mukami - Ikamate Hiyo (Official Video)(SMS SKIZA 8547210 to 811)

Thumbnail for Ikamate Hiyo video
Loading...
In Queue
View Lyrics