Upendo Nkone - Mwambie Yesu Lyrics
Lyrics
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie hee
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie

Usitishwe na shida ndugu Wala Magonjwa Iwe ni kupungukiwa fedha Hayo yote ni kwa muda tu Ni lazima ujipe moyo Yo Yo Yo Yo
Umwamini Mungu wako Anaweza kukufanikisha Anafanya njia pasipokua na njia Mwambie Yesu eeh
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie hee
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie
Wakati mwingine ndugu Umeshindwa hata kuomba Moyo wako mzito sana una huzuni sana moyoni Nakuambia usife moyo (Oh Oh Oh Oh)
Umuachie Mungu wako Ataondoa huzuni yote Yeye ni Mungu wa amani atakupa amani yake Atakupa furaha yake moyoni, telee Yeeh, mwambie Yesu Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie hee
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie
Hata elimu yako wewe Haiwezi kukusaidia Umaarufu wako Hauwezi kukusaidia Hata ukiwa tajiri Ni bure tu baba
Hata fedha ulizonazo Kisomo ulichonacho Haviwezi kukusaidia kitu chochote mama Muombe Mungu wako anaweza kufanya yote Elelelee, mwambie Yesu wako
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie hee
Mwambie Yesu mwambie Mwambie Yesu mwambie Anaweza yote Yesu mwambie Atakushindia Yesu mwambie
Video
Upendo Nkone Mwambie Yesu