Sounds of Afrika - Ahadi Lyrics
Lyrics
Akisema, atatenda Ni jambo gani hilo alokuahidi we Si mwanadamu, adanganye Yesu, jina lake
Ahadi zake, huyu Yesu Zitatimia, Huyu Yesu Si mwanadamu, adanganye Yesu jina lake
Akiahidi, ni mwaminifu Kwa kweli njia zake, si kama zetu Ni mwaminifu, ni mwaminifu Yesu, Jina lake
Ahadi zake, huyu Yesu Zitatimia, Huyu Yesu Si mwanadamu, adanganye Yesu jina lake
Video
Sounds of Worship - AHADI