Walter Chilambo - Moto Lyrics

Album: Thank You Lord
Released: 30 Jan 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Sijawahi ona zaidi yako Shammah Sijawahi kuona kama wewe Baba Sijawahi kuona sifa za lako jina Simba kabila la Yuda, ooh mwamba

Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee

Wewe unaye ponya viwete wakatembea Wewe unayeponya vipofu wakaona Tena unayeponya viziwi wakasikia Na mimi masikini wanipa habari njema

Yaani mambo, moto moto Oooh moto, kila kona ni moto moto Fire, eeh moto Yaani mambo, moto moto

Yaani kwako moto, moto Yesu moto moto(Moto moto) Mambo, eeeh moto 

Kila ninapopiga goti, unanijibu Baba Ninapomwaga machozi, unanifuta Baba Hata wakati wa shida, taabu na yale mabaya Hujawahi kuniacha Baba, daima wewe upo upande wangu

Nitalishika neno lako lisiniponyoke Nitaziimba sifa zako daima milele Daima milele, lele lelele

Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee

Wewe unaye ponya viwete wakatembea Wewe unayeponya vipofu wakaona Tena unayeponya viziwi wakasikia Na mimi masikini wanipa habari njema

Yaani mambo, moto moto Oooh moto, kila kona ni moto moto Fire, eeh moto Yaani mambo, moto moto

Yaani kwako moto, moto Yesu moto moto(Moto moto) Mambo, eeeh moto 

Yesu(Moto moto) Kila kitu kwake moto(Moto) Amewasha,(Moto moto) Eeeh(Moto)

Roho mtakatifu(Moto moto) Ametawala(Moto) Yaani mambo ni(Moto moto) Mapepo yanadanganya (Eeeh moto)

Ah leo Baba uinuliwe(Uinuliwee) Yesu uinuliwe(Uinuliwee) Uinuliwe(Uinuliwee) Wewe(Uinuliwee)

Baba wa huruma(Uinuliwee) We ni mwingi wa rehema(Uinuliwee) We ni mwingi wa neema(Uinuliwee) Baba eeh(Uinuliwee)

Uinuliwe(Uinuliwee) Moto moto(Uinuliwee)

Moto moto, moto Moto moto, eeeh moto Moto moto, moto Moto moto, eeeh moto

Video

Walter Chilambo - MOTO (Official Music Video) For SKIZA Sms "Skiza 7636627" to 811

Thumbnail for Moto video
Loading...
In Queue
View Lyrics