Walter Chilambo - Success Lyrics

Album: I'm Blessed
Released: 05 May 2023
iTunes Amazon Music

Lyrics

Kuna Muda machozi hayaniishi Huzuni haikatiki Hata ninapojaribu kutembea Naona sifiki Maumivu na Changamoto Havikwepeki Imani yangu najua Wakati wangu upo Kama walipata wengine Nami nitapata pengine Sikati tamaa Napambana (uuueeehh) Wacha leo wanicheke nikitafuta sipati Na hata mimi nichelewe ila hapa sitabakia

I need success in my life Mungu anibless in my life Mmmhh More bless in my life Viwango vingine I need success in my life Baba unibless in my life More blessings Testimony

Eeh eeeh eehh eeyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Lazima nifanikiwe Eeh eeeh eehh eeyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Lazima nifanikiwe

Sijazaliwa ili nishindwe Hata nikipanda mlima lazima Mi nifike (kileleni) Sijaumbwa ili niteseke Nitapambana vita mimi shujaa Lazima nishinde Baraka zangu nitangojea Kama ni kuchekwa nimezoea Mungu wangu namuamini Bado sichoki bado sichoki Kama walipata wengine Nami nitapata pengine Sikati tamaa Napambana

I need success in my life Mungu anibless in my life Mmmhh More bless in my life Viwango vingine I need success in my life Papa God oh Bless my life More bless Testimony

Eeh eeeh eehh eeyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Lazima nifanikiwe Eeh eeeh eehh eeyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Eeeh eeeh eehh eeyyaah Lazima nifanikiwe

Uuuuuuhhhh aaahhh aahh mmhhh

Video

Walter Chilambo feat. Jux - Success (Official Video)

Thumbnail for Success video
Loading...
In Queue
View Lyrics